Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Angalia mkuu usije kusema mm ndio nakuonea!!We siyo size yangu, nataka mkubwa mkubwa utasema nakuonea bure!!
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia mkuu usije kusema mm ndio nakuonea!!We siyo size yangu, nataka mkubwa mkubwa utasema nakuonea bure!!
Bangi ya wapi hiiKuna watu wanakera Sana humu ndani.kwa michango Yao tu unaweza ukatamani asingekuwepogi.niwe mkweli tu kuna jamaa anaitwa kanungila Karim huyu jamaa sijui Kwanini damu yake na yangu hazijaendana.ashaniharibia mood yangu mara kibao.siku nikikutana naye live live kitaani nitamchezeshea vitofa mixer vitasa Kama vyote.kwa upande wa ma she Kuna huyu anaitwa miss natafuta simfagilii Wala Nini namchukia na sijui kwanini na m term Kama adui.mwingine ni huyu anajiita viatu vya samaki,wa mwisho kabisa Ni GENTAMICYNE na mwenyewe naonaga miyeyusho tu
Ni mtazamo tu washikaji msijenge chuki.na wewe mtaje mmoja tu au wawili ambao una beef nao.
Hahahaha mwambaMimi yeyote anayetusimanga wanaume weusi, wafupi, vibamia ajue tuna ugomvi.
Haaahaaa[emoji23][emoji23][emoji1787]Mimi huwa simpendi huyu anayeitwa @gentamycin jamaa anapenda kujitia anajua kila kituuu,na mimi na watu wa haiba hii huwa hatuivani,pia lijamaa lina akaunt mbili huwa linatabia ya kutumia akaunti mbali na yenye jina la gentamycn kuisifia akaunti ya gentamycn.mfano kuna siku akatumia ile akaunt nyingine akaanza kuandika eti anamhisi gentamycn ni geneous kutokana na post zake akaenda mbali eti anamhisi ni usalama wa taifa.yaan linatest akili za watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko kama mimi ....huo mda wa kumchukia mtu naupata wapii[emoji44][emoji44]Sina ninayemchukia humu JF,unajibiwa kama ulivyokuja yanaisha tunasonga mbele,hakuna kuweka kinyongo!!
Kabisa Mambo ni Mengi halafu Mda Mchache!!!Uko kama mimi ....huo mda wa kumchukia mtu naupata wapii[emoji44][emoji44]
Sent using Jamii Forums mobile app
HaahhahahahaMimi yeyote anayetusimanga wanaume weusi, wafupi, vibamia ajue tuna ugomvi.
Ndege John kwanini tusitafutane tupigane maana nina chuki zaidi kwako.
Uhasama uishe maana ananiboa sana.[emoji1787][emoji1787].... Halafu mkishapigana?
Huyo jamaa ni pungaHuyo @gentamicyne ana muandiko flani ivi wa kidwanzi
hii ID yako imenikumbusha movie flani hivi..Huyu mzee wa vitunguu swaumu ananiboa yaani yeye kila kitu ni vitunguu swaumu