Mtaje mtu unayemchukia humu ndani JF

Mimi huwa simpendi huyu anayeitwa @gentamycin jamaa anapenda kujitia anajua kila kituuu,na mimi na watu wa haiba hii huwa hatuivani,pia lijamaa lina akaunt mbili huwa linatabia ya kutumia akaunti mbali na yenye jina la gentamycn kuisifia akaunti ya gentamycn.mfano kuna siku akatumia ile akaunt nyingine akaanza kuandika eti anamhisi gentamycn ni geneous kutokana na post zake akaenda mbali eti anamhisi ni usalama wa taifa.yaan linatest akili za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamchukiaje mtu ambaye hujamuona physically bwana ndo maana siku hizi vijana mnazeeka mapema kwa sababu ya roho zenu mbaya za kukunja.

Humu tunatumia fake IDs je kama mimi unaenichukia ni mjomba'ako au baba yako mdogo,umeshawahi kujiuliza labda kuna wakati huwa unapishana hapa JamiiForums na watu ambao in really life unawaheshimu sana lakini humu wanamwaga pumba?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 

Point ni kwamba unamchukia kutokana na comments zake.

Nikiwa mtaani nikakaa kijiweni mtu akasema Lissu bora angekufa tu, au kashifa yoyote ile ambayo ni inhuman. Akiwa na mawazo, anaongea kama watu hao ni automatically hatutakaa kujadili kitu.
 
Kwani wewe ndio unawapa kula hao vilaza wezako?
 
Baba ndege JOHN tokea jana unamihasira kama nini mkuu…. umepatwa na masahiba gani? punguza mzuka. Umefungua bomba la inye sasa watu wanaundiana mabifu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…