I love you too sister πMimi ni Sky Eclat tena nilishawahi hata kuweka uzi hapa JF
Ona link
https://www.jamiiforums.com/threads/huyu-mwanadada-member-wa-jf-napenda-sana-tabia-yake.1397409/
Barikiwa mpendwa wangu. Hujawahi kunichosha wala kunikwazaI love you too sister π
KIOO sijakuona hapa kwenye uzi aisee.
Binamu umefanya na mie nianze kumfuatilia huyo Waziri wa madini kwani huenda tukatajirika hapa Binamu. πππππAisee kwanza kabisa heshima yako mkuu wangu.
Pili sikuuona huu uzi wala tag yoyote ndo naiona sasa hivi mkuu.
Huyu jamaa Waziri wa madini itabidi awe role model wangu kutokana na Golden Rule inavyosema kuwa "DO UNTO OTHERS AS WOULD OTHERS DO UNTO YOU".
Ntaanza kumfatilia kuanzia sasa najua hilo jina lake sio bure natumai kuna MADINI mengi yanakuja aisee.
Sasa Role Model wangu ni Waziri wa madini, Binamu yangu Shadeeya na wewe mkuu NDUKI.
Much respect to all of you guys. Thanks.
Mimi mwenyewe ni role model wangu kwa mambo yanguNaanza na mimi kioo na faizafoxy,bujibuji..
Binamu umefanya na mie nianze kumfuatilia huyo Waziri wa madini kwani huenda tukatajirika hapa Binamu. πππππ