Mtaje role model wako hapa jf

Mtaje role model wako hapa jf

KIOO sijakuona hapa kwenye uzi aisee.

Aisee kwanza kabisa heshima yako mkuu wangu.

Pili sikuuona huu uzi wala tag yoyote ndo naiona sasa hivi mkuu.

Huyu jamaa Waziri wa madini itabidi awe role model wangu kutokana na Golden Rule inavyosema kuwa "DO UNTO OTHERS AS WOULD OTHERS DO UNTO YOU".

Ntaanza kumfatilia kuanzia sasa najua hilo jina lake sio bure natumai kuna MADINI mengi yanakuja aisee.

Sasa Role Model wangu ni Waziri wa madini, Binamu yangu Shadeeya na wewe mkuu NDUKI.

Much respect to all of you guys. Thanks.
 
Mimi ndio namtafuta role model wangu,nikimpata nawaambia.
 
Aisee kwanza kabisa heshima yako mkuu wangu.

Pili sikuuona huu uzi wala tag yoyote ndo naiona sasa hivi mkuu.

Huyu jamaa Waziri wa madini itabidi awe role model wangu kutokana na Golden Rule inavyosema kuwa "DO UNTO OTHERS AS WOULD OTHERS DO UNTO YOU".

Ntaanza kumfatilia kuanzia sasa najua hilo jina lake sio bure natumai kuna MADINI mengi yanakuja aisee.

Sasa Role Model wangu ni Waziri wa madini, Binamu yangu Shadeeya na wewe mkuu NDUKI.

Much respect to all of you guys. Thanks.
Binamu umefanya na mie nianze kumfuatilia huyo Waziri wa madini kwani huenda tukatajirika hapa Binamu. 😂😂😂😂😂
 
😍😍😍😍😍

Kabisa kabisa binamu yangu mie mwaya. Maana hilo jina hata sio bure Wallah.

Ipo siku tu utakuja kunishkuru binamu kwa madini utakayopata Wallah.

Fasbir Swabran Jamiylah Nam.
 
Back
Top Bottom