Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hiki ni kikosi cha Nigeria kilichotwaa ubingwa wa Olimpiki mwaka 1996 pale jijini Atalanta Georgia. Je ni nani hapo unamjua pichani, MTAJE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vzrOkocha ,kanu ,amunike, taribo west ,babangida ,babayaro ,olise
Sawa mkuu...nwankwo kanu
jay jay okocha
sunday oliseh
Hiki ni kikosi cha Nigeria kilichotwaa ubingwa wa Olimpiki mwaka 1996 pale jijini Atalanta Georgia. Je ni nani hapo unamjua pichani, MTAJEView attachment 1172027
Kizazi cha dhahabu cha soka la Nigeria.Okocha ,kanu ,amunike, taribo west ,babangida ,babayaro ,olise
Kizazi cha dhahabu cha soka la Nigeria.
Sawa mkongweCaptain Sunday Oliseh, Celestine Babayaro, Tijani Babangida, Nwanko Kanu, Taribo West, Uche Okwechukwu na Victor Ikpeba.
Soka la leo linahitaji ujue kupiga pasi tuSoka la leo limelegea sana......
Vijana wa shoka hao
Watoto wa leo hawawezi kujua ubora wa hao watuNwanko kanu
jay jay okocha,
Taribo west
Babangida
Soka la leo linahitaji ujue kupiga pasi tu
Hiki ni kikosi cha Nigeria kilichotwaa ubingwa wa Olimpiki mwaka 1996 pale jijini Atalanta Georgia. Je ni nani hapo unamjua pichani, MTAJEView attachment 1172027
Hahaha kweliSi ndio maana messi ana uwezo wa kuchambua timu nzima