Mtaje unaemjua pichani

Mtaje unaemjua pichani

Bwana wewe namuona ntu kama mohammedi hussein mmachinga wa ntwala
 
Hiki ni kikosi cha Nigeria kilichotwaa ubingwa wa Olimpiki mwaka 1996 pale jijini Atalanta Georgia. Je ni nani hapo unamjua pichani, MTAJEView attachment 1172027
Nigeria....!??? Ndio maana bado tunakwama sana soka letu. Yaani nianze kutaja wachezaji wa Nigeria? Weka kikosi cha Taifa stars. Uwe mzarendo
 
Back
Top Bottom