Taribo West alipotea mapema sana sijui shida ulikuwa niniOkocha ,kanu ,amunike, taribo west ,babangida ,babayaro ,olise
Taribo West alipotea mapema sana sijui shida ulikuwa nini
Ndo maana soka la zamani lilikuwa la kutoa burudani tu, tofauti na sasa linalolenga hela ....Soka la leo linahitaji ujue kupiga pasi tu
Ibra Babangida,taribo west,rashid yekin,emanuel amunike,victor ikpeba,nwanko kanu,jajay okocha,garbal lawal,celestine babayaroHiki ni kikosi cha Nigeria kilichotwaa ubingwa wa Olimpiki mwaka 1996 pale jijini Atalanta Georgia. Je ni nani hapo unamjua pichani, MTAJEView attachment 1172027
Garba lawal wa juzi huyu na akina John Otaka ,echenjile,obina nsofor ,danni shitu na agahowaGarba Lawal.
Nigeria....!??? Ndio maana bado tunakwama sana soka letu. Yaani nianze kutaja wachezaji wa Nigeria? Weka kikosi cha Taifa stars. Uwe mzarendoHiki ni kikosi cha Nigeria kilichotwaa ubingwa wa Olimpiki mwaka 1996 pale jijini Atalanta Georgia. Je ni nani hapo unamjua pichani, MTAJEView attachment 1172027