Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mtaje yoyote unayemjua hapo pichani ikiwezekana na sifa yake moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haruna Moshi "Boban", Mwinyi Kazimoto, Kelvin Yondani, Athman Idd Chuji na huyo mweupe simjui!Mbona kama namuona yondani na chuji
Haruna MOSHI "BOBAN" hajawahi kucheza Reli Morogoro! Alivotoka Tabora alienda Tanga - Coastal Union. Kutoka Tanga akaenda Morogoro - Moro United ya Merley Balhabou!Haruna moshi
Mmoja wa vijana waliokuwa na vipaji vikubwa nilimjua toka yupo reli morogoro sijui kwa nin vijana wetu hawadumu kwenye maisha yao ya soka
asante kaka kitambo kumbukumbu zinaondokaHaruna MOSHI "BOBAN" hajawahi kucheza Reli Morogoro! Alivotoka Tabora alienda Tanga - Coastal Union. Kutoka Tanga akaenda Morogoro - Moro United ya Merley Balhabou!
Akiwa Moro United, akacheza na Kaseja na Nsajigwa! Na Balhabou (mnazi wa Simba) akampeleka JKJ Simba!
Reli 2. Ulimboka Mwakingwe na Christopher Alexasante kaka kitambo kumbukumbu zinaondoka
nadhani ulimboka ndo alipitia reli
Ngada na ndumu ni tatizo kubwa sanaHaruna moshi
Mmoja wa vijana waliokuwa na vipaji vikubwa nilimjua toka yupo reli morogoro sijui kwa nin vijana wetu hawadumu kwenye maisha yao ya soka
Paul James na Haruna MoshiMtaje yoyote unayemjua hapo pichani ikiwezekana na sifa yake moja tu
View attachment 908375
Alikosa washauri sahihi, kipaji kikapotea.Huyo Boban Katoka kama mshirikina[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ukudaUna idhini au baraka za wahusika wa kwenye hiyo picha mkuu?
Acha ukuda
Reli: Golini Athumani Msomali (sub yake Duncan Mwamba), mbele kuna watu wa ukweli David Mihambo, Peter Mjata na Mbuyi Yondani, pembeni kulikuwa na Marehemu Duncan Butinini.... katikati kuna Boniface Njohole ama Ramadhani Kilambo! Kuna wkt Pale nyuma alikuwa anasimama Prof. Madundo Mtambo (Prof. SUA, ndiye anaewatoa wachezaji wengi wa Morogoro kupitia academy yake then Mtibwa kwenda timu za Dsm) na Habib Kondo!Reli 2. Ulimboka Mwakingwe na Christopher Alex
Reli nyuma kidogo. Fikiri Magoso na Mtwa Kiwhelu