City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,212
Je kijana husika ana:Ni kipi bora zaidi kwa kijana jobless
achilia mbali hayo yote hapo juu kama huna kazi kabisa unaona nn kita- work out mtaji au mshahara?Je kijana husika ana:
Majibu ya hayo maswali yatapanua wigo wa kuwa na uchaguzi sahihi, kati ya ajira au mtaji.
- Elimu ipi?
- Ujuzi upi?.
- Mazingira anayoishi ni yapi?
- Anapendelea nini?
Hili ni jibu sahihi sana, 5 million kwenye biashara na risk kubwa sana lakini mshahara unakufanya upate muda wa kujifunza na kujaribu biashara mara nyingi zaidiKama ni kijana ambaye hajawahi kushika pesa yake mwenyewe na kuipangia matumizi yafaa kazi ya mshahara ili apate udhoefu wa kumanage pesa.
Ukimpa mtaji m.5 ataziona nyingi na kuanzia kufanya matumizi nje ya malengo ya kibiashara na kuja kushtuka mtaji umekata. Lakini akiwa na kazi pesa ikikata atasubiri mwisho wa mwezi mwingine na kupata pesa ambapo atakuwa anajifunza pole pole kutokana na makosa ya matumizi aliyofanya mwezi uliopita.
All in all biashara ni best option kwa mtu alie komaa .
kuna mtihani hapa kuna kitu inaitwa RISKNilichogundua kama umezaliwa familia zetu hizi njia Tangible ya ku suistain maisha ni ajira then ndio mengine hufuata.
For me, Itategemeana na hiyo ajura ni Serikalini au Private Kama Ni serikalini nachagua mshahara wa 350K ila Kama ni private nachagua 5M mtaji