Tt4tat boy
Member
- Nov 26, 2015
- 45
- 11
Wana janvi kichwa cha habari kinajieleza naombeni ushauri nina pesa hiyo,nipo kijijini nifanye biashara gani jamani, ninakuku hamsini sasa nilikuwa nataka ninunue incubator ili niee nanunua mayai kisha kutotolesha kwa kutumia incubator ya solar. Naombeni mawazo yenu maana hata incubator sijui inauzwa tsh. ngapi .Tafadhali mchango wako nimuhimu sana kwangu , tuache dhihaka .AHSANTENI