Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 413
- 289
June 2021 nilianza kulima nyanya kwa kununua mbegu ya kipato f1 gm 2 kwa 20000/=,linkmil 1.5kg kwa 30000/=.DAP 5kg kwa 10000/=, foliar fertilizer 1kg kwa 5000/=, duduacelemectine 1ltr kwa 20000/=.
CAN 25kg kwa 25000/= vingine kama eneo, kamba na mianzi sikugharamia chochote nikapata output yote ikaisha in search for jobs.
Nikabaki with nothing sasa mwaku huu gharama za vitu zimenikatisha tamaa hasa DAP & CAN zimepanda maradufu