Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 413
- 289
June 2021 nilianza kulima nyanya kwa kununua mbegu ya kipato f1 gm 2 kwa 20000/=,linkmil 1.5kg kwa 30000/=.DAP 5kg kwa 10000/=, foliar fertilizer 1kg kwa 5000/=, duduacelemectine 1ltr kwa 20000/=.
CAN 25kg kwa 25000/= vingine kama eneo, kamba na mianzi sikugharamia chochote nikapata output yote ikaisha in search for jobs.
Nikabaki with nothing sasa mwaku huu gharama za vitu zimenikatisha tamaa hasa DAP & CAN zimepanda maradufu
nilivuna plastiki 40 nikauza kwa 10000 kwa plastikiTuanze na huo wa mwaka Jana out put au net profit ilikua yakuridhisha au ulikula mkenge.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
garama ya miche 400Hayo mahitaji yote ni kwa heka ngapi na inarudisha kiasi gani baada ya mavuno mkuu...?
heka moja ya nyanya inakaa miche 10000 approximately unaweza vuna plastiki 1000Hayo mahitaji yote ni kwa heka ngapi na inarudisha kiasi gani baada ya mavuno mkuu...?
kama nilivyoweka bayana output iliridhisha mtihani ni mtaji ulikuwa mdogo na nimeshindwa kulima tena baada ya fedha yote kutumia kwenye gharama ya kutafta ajiraTuanze na huo wa mwaka Jana out put au net profit ilikua yakuridhisha au ulikula mkenge.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulilimia wapi kaka?kama nilivyoweka bayana output iliridhisha mtihani ni mtaji ulikuwa mdogo na nimeshindwa kulima tena baada ya fedha yote kutumia kwenye gharama ya kutafta ajira
Ajira, ajira, ajira lakini usikate tamaa ndugu yangu taratibu tutavuka salamakama nilivyoweka bayana output iliridhisha mtihani ni mtaji ulikuwa mdogo na nimeshindwa kulima tena baada ya fedha yote kutumia kwenye gharama ya kutafta ajira