Ni kweli kuna muda tunahitaji sapoti toka kwa waliotutangulia kimaisha, ila muda mwingine inatubidi tugangamale maana kila aliyefanikiwa kuna Kazi ya ziada kaifanya ili kuwa pale tunapomuona alipo
Suluhisho LA tatizo LA Mitaji hasa sisi vijana tunaojikongoja ni namna yakuishi yaani tuishi kichanga SPEND LESS,SAVE MORE na njia ya pili ni vicoba au upatu, baaasi pole pole ndio mwendo tusitake yoooote yatokee kwa wakati mmoja
If you can't fly run,if you can't run walk, if you can't walk crawl but by all means keep moving ....Martin Luther King