Mtaji mgumu kwa sie haohehaha

Mtaji mgumu kwa sie haohehaha

Ishi maisha yako. Pigana kwa ukali wa panga lako bila kukata tamaa.

Unaweza anza na kitu kinaitwa vikoba. Kusanya wale vijana maskani anzisheni kikoba. Kama haiwezekani cheza upatu wa peke yako!
 
Mungu ni wetu sote usikate tamaa kikubwa uhai na uzima tu. Kabla hujatazama aliye juu yako tazama aliye vhini yako kwanza
 
Ni ngumu sana nasisitiza sio mchezo yaani maskini kufanikiwa ni kama bahati ni ngumu sana tupeane moyo lakini mwenye nacho kupata zaidi ni rahisi sana. Mungu ni mwema sana tuzidi kumtumaini huwa hadanganyi kabisa.
 
Ni ngumu sana nasisitiza sio mchezo yaani maskini kufanikiwa ni kama bahati ni ngumu sana tupeane moyo lakini mwenye nacho kupata zaidi ni rahisi sana. Mungu ni mwema sana tuzidi kumtumaini huwa hadanganyi kabisa.
Nasikiaga Bahressa alikuwa mshona viatu, hivi aliwezaje kutoboa
 
Ni kweli kuna muda tunahitaji sapoti toka kwa waliotutangulia kimaisha, ila muda mwingine inatubidi tugangamale maana kila aliyefanikiwa kuna Kazi ya ziada kaifanya ili kuwa pale tunapomuona alipo

Suluhisho LA tatizo LA Mitaji hasa sisi vijana tunaojikongoja ni namna yakuishi yaani tuishi kichanga SPEND LESS,SAVE MORE na njia ya pili ni vicoba au upatu, baaasi pole pole ndio mwendo tusitake yoooote yatokee kwa wakati mmoja


If you can't fly run,if you can't run walk, if you can't walk crawl but by all means keep moving ....Martin Luther King
 
Back
Top Bottom