Habari wapendwa, mimi ni muajiriwa hapa dodoma, lakini kama mnavyojua mshahara siku zote huwa hautoshi, sass wapendwa naomben mawazo yenu je kwa mtaji huo naweza fanya biashara gani, nimejaribu kufanya karesearch kidogo kuhusu biashara hapa dom cjafanikiwa coz cna muda mrefu hapa dom,mimi napenda sana kufanya biashara so far nna mipango ya kufungua sheli huko mbele naendelea kujipanga tho. Mungu awabariki sana