Mtaji milion 3

Mtaji milion 3

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
33
Habari wapendwa, mimi ni muajiriwa hapa dodoma, lakini kama mnavyojua mshahara siku zote huwa hautoshi, sass wapendwa naomben mawazo yenu je kwa mtaji huo naweza fanya biashara gani, nimejaribu kufanya karesearch kidogo kuhusu biashara hapa dom cjafanikiwa coz cna muda mrefu hapa dom,mimi napenda sana kufanya biashara so far nna mipango ya kufungua sheli huko mbele naendelea kujipanga tho. Mungu awabariki sana
 
Mkuu mawazo yetu hapa ni
Tigo Pesa/M Pesa
Ufugaji Wa Kuku
Bodaboda
waweza chagua itakayokufaa mapema mkuu!
 
Mi pia nina mawazo kama yako na nipo dodoma. Kiukweli bado pia niko njia panda maana naona kwa huku opportunities ni ndogo hasa mjini ukikompare na mikoa mingine unapokuwa maeneo yasokuwa ya mjin. Wengi hapa watakushauri mpesa, kuku, duka la vipodozi au nguo, n.k
 
Hata hapo Dom kuna opportunities nyingi ila watu hawajafundishwa kutambua fulsa hizo ndiyo maana kila karibu watu wote wanafanya biashara zinazofanana. Mimi nafanya Networking Marketing Business na kwa kutumia biashara hii nimesoma vitabu vingi vya kiujasimali na pia vitabu na machapisho mengi ya watu waliofanikiwa dunia. Ukweli ni kwamba hatujafundishwa namna ya kutambua fulsa ndiyo maana watu toka nje wanakuja bila pesa na kurudi kwao wametajirika. Pia Ukweli ni kwamba ukijifunza biashara hii utajifunza namna ya kuziona pesa ambazo huwa hazionekani kwa macho na pia utajua namna ya kutambua fulsa ambazo wengi hazioni kwa macho ila kwa akili zako tu. Hata hao viongozi unaosema huwa hawakai Dodoma unaweza ukawapata na kuzipata hizo pesa zao nyingi kama ikifundishwa hilo!. Wataalamu wa biashara duniani wanasema ukitaka kujifunza biashara jifunze kwa kuanza na biashara hii;sababu walizo toa ni: kwamba mtaji ni mdogo sana ila unawekeza zaidi katika muda wako, risk ni ndogo na kitu kikubwa utafundishwa namna ya kufanya biashara kitu ambacho hutakipata katika biashara yoyote duniani. watalaama wanatabiri kuwa ndiyo biashara inayokuwa zaidi katika karne ya 21,tayari takwimu zinaonyesha hilo. Ukitaka maelezo zaidi ntafute. 255 689 717 472
 
Back
Top Bottom