Mtaji milioni 25 - 30

Mtoa mada nadhani mkopo ulishamalizs. Tunasubiri mrejesho
 
Swali umebakiwa na kiasi gani naangalia muda wa marejesho, kosa la Kwanza huna mpango wa biashara yaani andiko la mpango wa biashara, km rejesho ni 3m kwa mwezi inatakiwa biashara hiyo ikuingizie faida zaidi ya ya 3m kwaajili ya gharama za uendeshaji kwakuwa biashara haijanza inatakiwa ubakize kiasi kwaajili ya marejesho angalau ya miezi 2
 

Wakati anasubiria huo msimu wa mauzo, rejesho la mkopo Kila mwezi la 3M linaendaje?
 
Hii biashara namba tatu nimeipenda nitaifanyia kazi, though naona kama siku hizi inabidi uwe na machine za kutengeneza koni naona kama ndio zinapendwa sana na watoto.
 
Kama kusudio la kuomba mkopo halipo tena bora utafute namna ya kurudisha tu hizo pesa uongezee na riba yao mambo yasiwe mengi
Bora nusu shari kuliko shari kamili
Bira biashara za kuanzisha kwa sasa ni jau sana unaweza poteza hata hizo 30m mambo yakawa mengi zaidi
 
Hilini wazo zuri sema ume rahizisha sana kuna mambo mengi sana umetuficha kwanzia upatikanaji , usafirishaji, uchinjaji changamoto zake , tafadhali tupe madini zaidi kwakeli hili ni wazo zuri sana kama utaeleza kwa undani
 
Hebu rudi bank unegotiate nao terms mpya za kulipa mkopo wakati bado unajitafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…