Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali umebakiwa na kiasi gani naangalia muda wa marejesho, kosa la Kwanza huna mpango wa biashara yaani andiko la mpango wa biashara, km rejesho ni 3m kwa mwezi inatakiwa biashara hiyo ikuingizie faida zaidi ya ya 3m kwaajili ya gharama za uendeshaji kwakuwa biashara haijanza inatakiwa ubakize kiasi kwaajili ya marejesho angalau ya miezi 2Wakuu za jumapili, naomba msaada kwenye tuta. Kuna biashara nilipanga kuifanya ya kuchimba one of industrial minerals. Nilitegemea kupata order kiwanda cha mchina Tanga, baada ya kuwa nimepata mkopo bank wachina wakaanza kuzingua, sasa natafuta plan B ya kufanyia hizo hela 25 - 30m ili inipe marejesho ya bank about 3m every month.
Natanguliza shukrani wakuu.
Kusini Sasa hivi wameanza kuvuna ufuta nnenda uwe unanunua ufuta Kwa njia inaitwa chomachima unapeleka garani. Baada ya msimu kuisha utakuwa umezalisha almost kama hiyo na zaidi. Nicheki nikupe connection maana ukienda kichwa kichwa unapigwa pesa na kurogwa juu
Hii biashara namba tatu nimeipenda nitaifanyia kazi, though naona kama siku hizi inabidi uwe na machine za kutengeneza koni naona kama ndio zinapendwa sana na watoto.1. Kama uko kijijini yaani siyo Dar, Arusha , Mwanza nunua mchomoko. Kadiria safari ya kulala na 50000 tu na mafuta full. Usiwake tamaa ya kuingiza laki.
2. Kama una banda tafuta afisa mifugo akuelekeze ufugaji wa kuku wa kienyeji. Usifanye bila maelekezo. Nunua incubator ya mayai 300 kwa gharama si zaidi ya milion.
3. Mpe mama mtaji wa tshs 3m. Mnunulie freezer 3kubwa na madell yasipungue 10. Nunua baiskeli na ajili vijana wauze barafu mashuleni. Utashukuru. Barafu zitakata Novemba. Hii pia inategemea ulipo. Mfano kwa Mfindi haiwezekani.
Kwa mraji huo biashara zote juu waweza kuzifanya kwa pamoja
Bira biashara za kuanzisha kwa sasa ni jau sana unaweza poteza hata hizo 30m mambo yakawa mengi zaidiKama kusudio la kuomba mkopo halipo tena bora utafute namna ya kurudisha tu hizo pesa uongezee na riba yao mambo yasiwe mengi
Bora nusu shari kuliko shari kamili
Angalia rate ya sasa mkuu 1000uds ni zaidi ya 2.6mKaka toa 1000$ tu ni kam 2.4mil uje tutrade hutojutia..
Ongezea nyama mkuu inawezekana una kitu unaweza saidia na wwngineKama unaidea ya magari njoo tulenge mkuu, utanishukuru baadae.
Kama upo Dar es salaam.
Hilini wazo zuri sema ume rahizisha sana kuna mambo mengi sana umetuficha kwanzia upatikanaji , usafirishaji, uchinjaji changamoto zake , tafadhali tupe madini zaidi kwakeli hili ni wazo zuri sana kama utaeleza kwa undaniWazo la kukemea umasikini na kuwa tajiri ndani ya miezi sita.
- Tafuta chimbo la kununua ng'ombe kwa bei nafuu i.e mnadani n.k
- Ongea na watu wa machinjioni
- Wapelekee ng'ombe watano watano kila siku kwa ajili ya kuchinjwa i.e nikiamini uweze kutengeneza angalau laki 8 kwa siku n.k
Uza kwa bei ya jumla kwa wale wenye mabucha watakao kuja hapo machinjioni Saa nne asubuhi nyama inakuwa imeisha Baada ya hapo jipongeze kwa kukaa kwenye viti virefu pamoja na totoz Jitahidi kila siku kunilipa elfu 50, kwa kukupa hili wazo; utoapo zaidi ndipo mafanikio yanaongezeka zaidi.
😂😂 Ati mikopo umiza,Yaani mikopo kausha damuAnzisha microfinance uwe unatoa mikopo umiza