Mtaji milioni 3, biashara ipi itafaa?

Huwez fanya business yoyote ukiwa mbali na ikaenda vzur, otherwise utapata khasara, tafta mtu mwaminifu mwenye kuweza kusimamia wkat bado Upo chuo, Au usubiri mpka utakapomaliza chuo,
Nakuunga mkono bila ya shaka yoyote mkuu ila hapa TZ wengi naona wanafanya sana kwa simu!!
 
Faida hapo inaonyesha 130000 swali linakuja itachukua muda gani kuuza mzigo wote kuisha na ili kufidia na kujua ghalama za chakura na nauri wakati Wa muda Wa kuuza kwa makadilio na eneo gani zuri la kuweza kukamata siko vizurj?
 
Mara nyingi ni wiki moja inabidi kuwa na kijana mwaminifu na anayejua biashara maeneo ya watu wengi ndio mazuri..ukitoa gharama zote hukosi laki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…