Mtaji milioni 3, biashara ipi itafaa?

Mtaji milioni 3, biashara ipi itafaa?

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
337
Reaction score
441
Habar wakuu,

Nina mtaji wa mil. 3, nataka fanya biashara nitakayoiendesha nikiwa mbali nayo coz niko chuo kwa sasa so nitakuwa na muda mchache wa kuisimamia.

Ni biashara gani itakayoendana na condition hizo wadau? Mchango wenu please.
 
Huwez fanya business yoyote ukiwa mbali na ikaenda vzur, otherwise utapata khasara, tafta mtu mwaminifu mwenye kuweza kusimamia wkat bado Upo chuo, Au usubiri mpka utakapomaliza chuo,
Inawezekan kwa kuinvest mkuu
 
Habar wakuu, nna mtaji wa mil. 3 nataka fanya biashara nitakayoiendesha nikiwa mbali nayo, coz nko chuo kwa sasa so ntakuwa na muda mchache wa kuisimamia, ni biashara gan itakayoendan na condition hizo wadau, mchango wenu plz.
Viatu vya mtumba tuwasiliane kiroba 150000 pair 50+ vya watoto kina mama na vijana
1474007984773.jpg
1474008001608.jpg
1474008020588.jpg
 
Back
Top Bottom