Kobe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 1,794
- 812
Hawa hawanaga yale mambo ya kuachina baada ya muda kama wale bidaboda?nunua bajaji kwa mtu kila siku unapewa 20000 kwa mwez wapewa 600000 kwa miez mitano hela yako imerud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa hawanaga yale mambo ya kuachina baada ya muda kama wale bidaboda?nunua bajaji kwa mtu kila siku unapewa 20000 kwa mwez wapewa 600000 kwa miez mitano hela yako imerud
hiyo biashara mbka utazeeka hujavuna kitu ..Iyo ni biashara ya muda mrefu zaidi ya miaka 10 na kuendelea
Mkuu tufanye hiyo kazi.Wekeza kwenye kilimo cha tangawizi iringa halafu tasimamia mmi kama unaniamini, nipo tu nishamalza chuo halafu faida itakayopatikana tutawasiliana
Uvunaji wa tangawizi ndani ya miezi 6 inauwezekano wa kkuingizia milioni 24 kama unaniamin namba zangu hiz hapa 0714145928
NawazaHiyo ya tangawizi ni kweli?
Kiongozi unapatikana wapi?Viatu vya mtumba tuwasiliane kiroba 150000 pair 50+ vya watoto kina mama na vijanaView attachment 401247View attachment 401249View attachment 401250
Hii biashara nimeshawaekezea watu zaidi 3 humu lakini watu wamezoea biashara za kisharobalo ni ngeni kwao wakati wachina wanakamata frusaHuwezi eleza kwa mtu mwingine mka/tuka gawana hiyo%?
Ni biashara ya plastic chakavu naielezea kila siku watu wamezoea biashara za mazoea hii ni biashara mpya kwao China ni ya Zamani wanakuja wananunua wanaenda wekeza kwao napata hasira sana pesa imeniangushaBintishomvi mie nipo Dar leta huo mchanganuo tutoke wote.
well said mkuuKwanza Mimi Niko against ya kuwa eti ukiweka MTU biashara yako itakufa ila ukiwa mbinafsi,mvivu na mkorof huhitaji MTU utaibiwa...
Duuh..kwahiyo jamaa awe na danguro?Ngoja nikusaidie chap!
Nenda kahama kule machimbo kwa wale wachimbaji wadogo wadogo uwe unafanya kuwasupply na huduma za oxygen. Pia ukiona hio haifai basi anza kubroker madini kwa hao hao wachimbaji wadogo...
Kirahis hvyo upewe madini [emoji1787]Ngoja nikusaidie chap!
Nenda kahama kule machimbo kwa wale wachimbaji wadogo wadogo uwe unafanya kuwasupply na huduma za oxygen. Pia ukiona...
Noma sana kuna watu wamewehuka..[emoji23][emoji23]Duuh..kwahiyo jamaa awe na danguro??
#MaendeleoHayanaChama
Ushawahi kwenda machimbo yoyote kuna madini ya kila namna na bei zinatofautiana pia akajaribu.Kirahis hvyo upewe madini [emoji1787]
Hii b'ness inahitaji mtu mwenye uelewa na hasa kwa huo mtaji wake ni mzuri kama angekua na uelewa. Ila kama haelewi atakula za uso mpaka atajuta.Trade forex