Mtaji milioni moja laki saba. Nifanye nini ndani ya Dar nitoke

Mtaji milioni moja laki saba. Nifanye nini ndani ya Dar nitoke

Sela Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,120
Reaction score
7,317
Asee wadau wangu wa jamii forums bila shaka mko salama. Za SIKUKUU pia Ni njema kwa jina la mola.

Wanajamvi ninaomba ushauri wenu Nina shilingi milioni 1,700000 mahali flani hivi. Nimekwa nawaza biashara ya kufanya hapa jijini..Lkini mambo magumu. Nipate faida nisijelia mtu mzima.

KatikA ushauri wenu ..Cha kukumbuka tu Mimi sina nyumba dar ila naishi dar.
KAMA HUNA CHA KUCHANGIA SI LAZIMA UANDIKE.

Mola atusaidie.
 
"Kama unataka Mali utaipata shambani"... Sasa Kam Dar kuna shamba endelea kukaa huko! Hio hela utabetia yotee itaisha mkuu!!
Mvua hamna Sasa huko kwetu siku hizi! Mwaka Kama huu ulkua mgumu ukame mwanzo mwisho
 
Kodi shamba lenye chanzo cha maji karibu,, lima mazao ya biashara kama nyanya, au mbogamboga au nipigie 0745478823 nikupe mwongozo...
 
Nenda mbeya kanunue vitenge...ukiuza sehemu fulani vijijini ambako sasa wanavuna..unauza cash 20elfu na kukopesha ni 25 elfu kwa pande mbili iwe wax,java au soso....pande tatu kukopesha 35,,cash 30,,,WIKI MBILI KUKOPESHA,,,baada ya wiki tatuu utakua na mtajix2....NB:Wiki ya tatu ni kwa wateja wasumbufu,,pia jiandae kupambana na chuma ulete a.k.a hela za moto
 
Lima uyoga,fuga vipepeo au lima mchaichai
Hivi hivyo vitu mkuu kama vipepeo huwa vina masoko kweli maana nishawahi ona mwingine anasema fuga machura flani hivi huwa yanatumika kutengeneza dawa sijui alafu akasema vitoto anauza yeye, nikaishia kuchanganyikiwa tu
 
Back
Top Bottom