Mtaji milioni moja laki saba. Nifanye nini ndani ya Dar nitoke

Nunua boda boda Kisha uendeshe mwenyewe usimpe mtu, itakulipa faster
 
Wanakushauri kuhusu mifuko,kutengenezea ni time consuming unaweza ishia mifuko hamsini kwasiku,huwezi kucompete na mashine,material bei juu,soko la mifuko ya khaki halipo
 
Kwa kuwa upo dar chukua freezer kubwa kodi kibanda tafuta vijana hata watatu mpaka watano ambao watakuwa wanafunga maji ya kwenye viroba na kuuza mtaani kwa wastani kila kijana atakuketea elfu kumi na tano kwa siku ambapo kwa kila kijana utamlipa elfu moja au elfu moja mia tano kwa siku hivyo kufanya kwa siku ukiwa na vijana watatu kuwa na uhakikia wa kulala na elfu ishirini na tano utakapo toa kila kitu yaan running cost ya kila siku ambapo kwa mwezi unaweza jikuta unatengeneza kiasi kikubwa cha pesa kumbuka tu kuwakatia vitambulisho vy ujasilia mali nakuhakikishia hutajutia biashara hii unaingiza faida kubwa bila usumbufu wa TRA u
 
Mifuko ya kufungia maji c imekatazwa mkuu
 
Unamlipa elfu moja na chakula juu au
 
Kwa mtaji huo tafuta goli sehemu nenda kariakoo kachukue mazaga zaga ya urembo kama hereni, chain, bangili ,wigs, nk na vipodozi pia na tupafyum utakuja kunishukuru baadae ukipata sehem yenye mchanganyiko wa watu kwa siku lazma utengeneze faida isiyopungua 50000, kama unaweza unachukua na tuviatu simple twa kike hutajutia
onyo: ukijishughulisha na biashara hii usipende sana sketi ukipenda tu umekwishaaaa!!
Haya Kazi Ni kwako kuyabadili haya maelezo kwenda kwenye uhalisia ukiweza na ukawa interested utakua umepata mwanga wa maisha
 
Back
Top Bottom