mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Tayar nishakutumiaSawa
Tupe ushuhuda wakoNunua mashine ya kutengeneza juice ya miwa kama upo dar trust mi unatoboa.Mimi ni shuhuda katika hili
Mchanganuo wake ukoje mkuuFungua butcher
Hii kazi inasaidia wengi sana mkuuHii ya boda boda nakubaliana nayo,anaendesha mwenyewe
Mifuko ya kufungia maji c imekatazwa mkuuKwa kuwa upo dar chukua freezer kubwa kodi kibanda tafuta vijana hata watatu mpaka watano ambao watakuwa wanafunga maji ya kwenye viroba na kuuza mtaani kwa wastani kila kijana atakuketea elfu kumi na tano kwa siku ambapo kwa kila kijana utamlipa elfu moja au elfu moja mia tano kwa siku hivyo kufanya kwa siku ukiwa na vijana watatu kuwa na uhakikia wa kulala na elfu ishirini na tano utakapo toa kila kitu yaan running cost ya kila siku ambapo kwa mwezi unaweza jikuta unatengeneza kiasi kikubwa cha pesa kumbuka tu kuwakatia vitambulisho vy ujasilia mali nakuhakikishia hutajutia biashara hii unaingiza faida kubwa bila usumbufu wa TRA u
Unamlipa elfu moja na chakula juu auKwa kuwa upo dar chukua freezer kubwa kodi kibanda tafuta vijana hata watatu mpaka watano ambao watakuwa wanafunga maji ya kwenye viroba na kuuza mtaani kwa wastani kila kijana atakuketea elfu kumi na tano kwa siku ambapo kwa kila kijana utamlipa elfu moja au elfu moja mia tano kwa siku hivyo kufanya kwa siku ukiwa na vijana watatu kuwa na uhakikia wa kulala na elfu ishirini na tano utakapo toa kila kitu yaan running cost ya kila siku ambapo kwa mwezi unaweza jikuta unatengeneza kiasi kikubwa cha pesa kumbuka tu kuwakatia vitambulisho vy ujasilia mali nakuhakikishia hutajutia biashara hii unaingiza faida kubwa bila usumbufu wa TRA u