ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hakuna biashara utafanikiwa peke yakoHii maada nairudia tena kwa mara nyingine.mtaji ninao wa zaidi ya million saba tatizo kazini natoka Kuanzia saa 9 na nusu usafiri ninao pikipiki.job kila siku Monday to Friday na pia ni mtu wa site mara kwa mara haipiti mwezi lazima kuna siku tano mpaka 10 niwe safari...je biashara gani ambayo bidhaa zake haziharibiki na vile vile ukiwa haupo haithariki yaani hupotezi wateja kila siku wateja wapya wanapita..
NB:sitaki kumuweka mtu nataka iwe ya kuisimamia mimi...nilikuwa nawaza labda niwe na kibanda cha asali barabarani niongezee na idea nyingine nzuri.
🤣🤣🤣JamaniKachoyo haka kanyaturu.
Nimeshawekeza kwa watu biashara ya nguo nilichofanyiwa sio poa..ndo maana hata imani kwa watu imepungua nduguHakuna biashara utafanikiwa peke yako
Keki ni kubwa saana
Wekeza kwa watu
Biashara gani na ukiwa mbali Jamaa awe mwaminifu...na kumbuka nipo mkoa wa ugenini mwaka wa pili sasa na vijana sio waaminifu Nadhani unaelewa mikoa ya pwani ya kusini vijana sio watu wa kaziwe ni mpare?
em ajir mtu
Kaka maisha ndio yalivyo makosa yapo ili kutufunza kuna namna ya kusimimamia biashara yako huenda ulifeli hapo je umejifunza ?Nimeshawekeza kwa watu biashara ya nguo nilichofanyiwa sio poa..ndo maana hata imani kwa watu imepungua ndugu
Hela umepata wapi?Hii mada nairudia tena kwa mara nyingine, mtaji ninao wa zaidi ya million saba tatizo kazini natoka Kuanzia saa 9 na nusu usafiri ninao pikipiki. Job kila siku Monday to Friday na pia ni mtu wa site mara kwa mara haipiti mwezi lazima kuna siku tano mpaka 10 niwe safari.
Je biashara gani ambayo bidhaa zake haziharibiki na vile vile ukiwa haupo haithariki yaani hupotezi wateja kila siku wateja wapya wanapita..
NB: Sitaki kumuweka mtu nataka iwe ya kuisimamia mimi...nilikuwa nawaza labda niwe na kibanda cha asali barabarani niongezee na idea nyingine nzuri.
Hao vijana sasa ndio shughuli ilipo. Ebu nitafutie nikupe boda tatu uwe unaniletea hela bestyNunua pikipik mbili au Tatu wape vijana mkataba wanakuwekea Kila baada ya siku 5 au Saba iyo haiathir chochote ila tafuta vijana waaminifu na mkataba uwe wa kimaandishi