MWENDAKULIMA
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 951
- 355
tafuta mtu anaefuataga bidhaa china mpe akanunue smart phone kwa bei rahisi then uje uziuze mavyuoni ili mtaji uwe mkubw
Kila kitu huanza polepole ndugu sasa mtu hata hayo madini yenyewe hajawahi kuyaona then aweke pesa zote? Naunga mkono hoja ya mkuu kaka km aanze na kiasi kidogo wakati anazoea mazingira ya biashara ataongeza taratibu mbele ya safari akiwa na uzoefu na kama mambo yataenda vizuri
Kwa huo ushauri aweza tapeliwa.
hiyo ya madini ya felspar imekaa vizuri sana ndugu...Kama uko morogoro au dar,nenda morogoro huko kilosa uwe unanunua madini yanaitwa feldspar uwe unakuja kuyauza dar.Unanunulia kilo moja 2000 au 2500,dar yanatoka kuanzia 6000 hadi 10000. Soko lake ni la uhakika ukiyafikisha dar. Unaweza kuanza na kilo chache kama 10 au 15 kuangalia soko. Inalipa na hiyo pesa yako kwa biashara hiyo ni kubwa sana.Pia unaweza kua unanunua mbuzi huko minadani unakuja kuwauza dar, mbuzi mmoja wa bei ya chini kabisa dar ni elfu 60 ambae unaweza kumnunua 20 au 25 ukijumlisha na usafiri hadi dar ni 35.Uhakika wa soko la mbuzi dar ni wa kuaminika,ukifika hata na mbuzi 200 unawauza wote muda huo huo.Kwa mtaji wako unaweza kuanza na mbuzi 25.Nadhani unaweza kufikiria hvyo kama utakua una nia ya kufanya biashara.
kalime tikiki kwa hilo hela unalima eka moja na likikubali si chini ya 5m
Lisipokubali! Just wondering
Kama uko morogoro au dar,nenda morogoro huko kilosa uwe unanunua madini yanaitwa feldspar uwe unakuja kuyauza dar.
Unanunulia kilo moja 2000 au 2500,dar yanatoka kuanzia 6000 hadi 10000. Soko lake ni la uhakika ukiyafikisha dar. Unaweza kuanza na kilo chache kama 10 au 15 kuangalia soko. Inalipa na hiyo pesa yako kwa biashara hiyo ni kubwa sana.
Pia unaweza kua unanunua mbuzi huko minadani unakuja kuwauza dar, mbuzi mmoja wa bei ya chini kabisa dar ni elfu 60 ambae unaweza kumnunua 20 au 25 ukijumlisha na usafiri hadi dar ni 35.
Uhakika wa soko la mbuzi dar ni wa kuaminika,ukifika hata na mbuzi 200 unawauza wote muda huo huo.
Kwa mtaji wako unaweza kuanza na mbuzi 25.
Nadhani unaweza kufikiria hvyo kama utakua una nia ya kufanya biashara.
Jiungee na fursa inayotoka zantel... unahitaji sh.76,500 Tu. Tafadhali P.M kwa maelezo zaidi
Jiunge na fursa kutoka forever living, utaweza kutumia Tsh 910,000 tuu kama mtaji wa kuanzia na ukijituma vizuri utatengeneza mpaka zaidi Milion 3 kwa mwezi.
Kwa maelezo zaidi pm au piga 0719972458
Jiunge na fursa kutoka forever living, utaweza kutumia Tsh 910,000 tuu kama mtaji wa kuanzia na ukijituma vizuri utatengeneza mpaka zaidi Milion 3 kwa mwezi.
Kwa maelezo zaidi pm au piga 0719972458
Utamu wa ngoma uingie ucheze usisubiri kuhadithiwa!!!
Jiunge na fursa kutoka forever living, utaweza kutumia Tsh 910,000 tuu kama mtaji wa kuanzia na ukijituma vizuri utatengeneza mpaka zaidi Milion 3 kwa mwezi.
Kwa maelezo zaidi pm au piga 0719972458