Niko sinza mori maeneo ya bigbon.. Mimi ninavyolewa kuhusu biashara ya tigo pesa na mpesa ni kwambia uwe pahali ambapo kuna mzunguko wa watu, sehemu iliyopo busy na sinza mori imekua sehemu ya biashara siku hizi, lakini nategemea patazidi kubalika sana zaidi lile jengo la bigbon likiisha ndio kutakua na mzunguko wa watu wengi hapo ndipo nime target