Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Kama unataka ufungue la kibishibishi.... at least uwe na 20 -25m
Duh!kumbe dar nitasubiri sana aiseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unataka ufungue la kibishibishi.... at least uwe na 20 -25m
Hv Luchelele ni Rock city Mwanza...? Ok kwa mkoa hio kodi ya pango ni possible ila mjini hapana, ok nimechukua wazo lako best.
Kitendawili cha kuku na yai kipi kilianza. Utaishawishije serikali kubadili sera kama hakuna kinachozalishwa nchini? Afrika haina uhaba/ubovu wa masoko bali ina uhaba wa mindombinu na ubunifu wa kuyafikia au kuyafungua masoko hayo. Daraja la kati (middle class) linakuwa katika nchi karibu zote za Afrika. Wajanja wa nje wanaiona hiyo fursa na kuitumia. Sisi wenyewe ndiyo tumalala.Pamoja na hayo mkuu.
sasa watu wote wakizalisha ni nani atakua mnunuaji.?.Ukizingatia soko la Africa lilivyo bovu.
Mtanzania hawezi kuzalisha mali na kupata wanunuaji ili hali bado Mali nyingi zinatokea nje ya nchi. Hivyo kwa tanzania kufanya kitu kama hiko ni lazima Serikali pia ifanye mageuzi ya sera ya Uwekezaji humu nchini.
Kama ni duka la vifaa vya ujenzi unawza ukaanza poleole mfano ukanunua baadhi tu ya vifaa fulani kama cement na nondo pekee au tile whatever. Then vikishauzika una add ile profit kwenye mtaji unarudisha kwenye circulation ila inabidi uwe mvumilivu mwenye moyo wa kubana pesa maada ya miezi michache unaweza kukuta duka lako lipo full kabisa. Pia kuhusu bi a pango nenda katafute mahala ambapo nyumba na makazi ya watu yanajegwa jengwa hapo unapata assuance ya wateja na vilevile bei ya frame inakuwa chini kidogo ukilingaisha na mjini. Haya ni mawazo yangu tu.
we kweli ni sexologist.........minimum milioni 150..