Kaka 200 unatosha kbs, mimi nilianza na 150. Cha kufanya usiagize kwanza singida. Cha kufanya usiagize kwanza singida nunua hapo ulipo kwa washikaji wanaoleta singida.

Kaka unaongelea kuku wa kienyeji? Una contact zozote za kupata kuku wa kienyeji ????

Mi niko korogwe Tanga umtanisaidiaje?
Anitafute hata mimi tutafanya biashara namsafirishia mpaka Dar,
Na wewe unahitaji msaada mkuu?