Mtaji wa 200,000/=

Mtaji wa 200,000/=

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Kila idea nayojaribu kubuni inani'cost zaidi ya 500,000/= mfano biashara ya kununua kuku toka Singida na kuwauza kwenye migahawa. Naombeni mawazo yenu wadau niweze kujikwamua, nifanye nn kwa hii 200,000 niliyo sasa?
 
Kaka 200 unatosha kbs, mimi nilianza na 150. Cha kufanya usiagize kwanza singida. Cha kufanya usiagize kwanza singida nunua hapo ulipo kwa washikaji wanaoleta singida.
 
Kaka 200 unatosha kbs, mimi nilianza na 150. Cha kufanya usiagize kwanza singida. Cha kufanya usiagize kwanza singida nunua hapo ulipo kwa washikaji wanaoleta singida.

Yep, inakuwa rahisi kama unawafaham, ila zaidi uende sinza wanunuzi wa kuku kwa bei ya jumla toka Singida. Au labda we ulifanyaje?
 
Inabidi uangalie miradi tofauti na uifanyie visibility study laki 2 ndio uwezo wako hebu angalia na viazi ulaya pia
 
Kaka unaongelea kuku wa kienyeji? Una contact zozote za kupata kuku wa kienyeji ????
 
Biashara ya kuku wa kienyeji haimtupi mtu
 
Kaka 200 unatosha kbs, mimi nilianza na 150. Cha kufanya usiagize kwanza singida. Cha kufanya usiagize kwanza singida nunua hapo ulipo kwa washikaji wanaoleta singida.

kaka we chagua kati ya hivi ili nipate namba za dereva yoyote anayeleta kuku kutoka singida. Yaani namba za simu. .
0758158730 au uniPM
 
Daa jaman na mm ninaitaji kufanya iyo biashara l nipo morogoro mjini ninamtaji wa 250000/=
 
Back
Top Bottom