Habari zenu wana JF.
Nina mtaji wa 2m nipo dodoma mjini. Je ni biashara gani inalipa dodoma.
Mimi ni mgeni katika mji huu ndo nimefika mwezi huu nimepangiwq kazi huku kama mtumishi wa umma.
Naombeni mwongozo wenu katika hili.
Mungu awabariki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.