Yelawolf49
Member
- Sep 20, 2017
- 73
- 65
Wasalam wanajukwaa. Mimi ni muajiriwa nimejichanga nikapata huo mtaji, nilikuwa naomba ushauri na namna ya kuanzisha biashara husiku hasa kwa Dar. Asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ps4 Slim na Ps4Pro dukani Kwa Sasa zinauzwa Bei Gani?Inatosha, ila ingia cost za kununua pad OG maana ukinunua zile copy ni miezi miwili tu zitaanza kuleta shida, blow machine ikiwezekana kila wiki vumbi ni hatari sana.
Inategemea ume target class gani ya watu ila ukiweza ingia cost kuweka set up nzuri ya viti itakaa poa zaidi.
Kuwe na hewa ya kutosha na pia space kati ya set up ya tv moja na nyingine iwepo pia kuwapa comfort wateja.
Usiweke tv kubwa sana kama una space ndogo.
Yote haya ni kwa experience nilopata kuifanya hii bahati mbaya nili ibiwa kila kitu nika achana nayo.
Kaka kuna mahali nime kwama kwenye hiyo bisness kama hutojali naomba mawasiliano yako naweza pata kitu zaidi natanguliza shukuraniGo for hizi used usi chukue mpya, slim nimetumia mbili so far na zote zilisha kufa pro hazina maana maana ni mpaka uwe na ubora wa tv ndo utaona tofauti yake.
Chukua ps4 fat used ila angalia condition yake na zi test mwenyewe. So far najua 400-500 unapata uki negotiate vizuri maana najua utanunua na cd pamoja na pad so cheza karata zako vizuri ili wakupe punguzo.
Kaka kuna mahali nime kwama kwenye hiyo bisness kama hutojali naomba mawasiliano yako naweza pata kitu zaidi natanguliza shukurani