Mtaji wa 4.5m unatosha kuanzisha sehemu ya kuchezesha playstation games?

Unanyosha, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Ps4 Slim na Ps4Pro dukani Kwa Sasa zinauzwa Bei Gani?
 
Kaka kuna mahali nime kwama kwenye hiyo bisness kama hutojali naomba mawasiliano yako naweza pata kitu zaidi natanguliza shukurani
 
unatosha, tafuta machine used kwa ps4 sidhan kama inaweza zidi laki 4-5 (it depends) kwa ps 3 mpaka laki 3 sasa unapata, zingatia location padi nzuri na confort kwa wateja. namna ya uchezwaji inategemea na location huku tunalipa 2000 per hour kwa ps4 na buku per hour kwa ps3
target population yoyote watoto na watu wazima.

zingatia usalama wa mali zako wizi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…