Mtoto wa Golden Paste
Senior Member
- Jul 7, 2020
- 166
- 120
20M unaanza kazi freshi ila simu nyingi ziwe androids. Ukiuza ma iPhone latest yanakula mtaji zaidi unless ununue refurbs ambazo una pack kwenye mabox na kuuza kama mpya.Habari wana jukwaa
Nina wazo la kufungua duka la kuuza simu lakini sijajua ntaanza na mtaji kiasi gani.
Kwa wenye uzoefu msaada wa mawazo unahitajika tafadhali.
Shukran sana mkuu kwa ushauri wako20M unaanza kazi freshi ila simu nyingi ziwe androids. Ukiuza ma iPhone latest yanakula mtaji zaidi unless ununue refurbs ambazo una pack kwenye mabox na kuuza kama mpya.
Tia accessories za simu pia kama ma cover,chargers,earphones, memory cards, flash, screen protectors hapo unakuwa sawa.
Ukianza kupata mwanga, weka tv games pia uwe unaziuza. Toa huduma ya kuuza movies pia na series. Utakuja kunishukuru
Sijakuelewa [emoji848]wenzako wanafanya za juu kwa juu....
asa we jifanye umenyooka utarud kwenu huna kitu
Pamoja mkuuShukran sana mkuu kwa ushauri wako
Anza ku-import utajua aseeSijakuelewa [emoji848]
Eleza vzr mkuu kivipimillion 2 unaanza mkuu
Maelezo kidogo mkuumillion 2 unaanza mkuu
Mtaji sijajua we ulijipangaje Ila India Kuna simu nzuri na bei rahis mfano simu lak 2bongo naona watu wanauza Hadi sita kama hutojari tunaweza kufanya biashara unanilipa nauli tuHabari wana jukwaa.
Nina wazo la kufungua duka la kuuza simu lakini sijajua nitaanza na mtaji kiasi gani.
Kwa wenye uzoefu msaada wa mawazo unahitajika tafadhali.
Millioni mbili si ni simu mbili au tatu mkuumillion 2 unaanza mkuu
Weka namba yako niagize visimu huko.Mtaji sijajua we ulijipangaje Ila India Kuna simu nzuri na bei rahis mfano simu lak 2bongo naona watu wanauza Hadi sita kama hutojari tunaweza kufanya biashara unanilipa nauli tu
+91 97179 98645Weka namba yako niagize visimu huko.
kwa biashara ya izo cover edfon charge na smu ndogo kuweka movie nkiwa na mtaj kama wa 4m inawezekana kwel? bei za edfon zaa jumla na chaj imekaa vp20M unaanza kazi freshi ila simu nyingi ziwe androids. Ukiuza ma iPhone latest yanakula mtaji zaidi unless ununue refurbs ambazo una pack kwenye mabox na kuuza kama mpya.
Tia accessories za simu pia kama ma cover,chargers,earphones, memory cards, flash, screen protectors hapo unakuwa sawa.
Ukianza kupata mwanga, weka tv games pia uwe unaziuza. Toa huduma ya kuuza movies pia na series. Utakuja kunishukuru
Hii ikojeWenzako wanafanya za juu kwa juu.... asa we jifanye umenyooka utarud kwenu huna kitu
Hapo unazungumzia simu gani?Millioni mbili si ni simu mbili au tatu mkuu
Anunue Refurbs,aweke kwa maboksi auze kama mpya?...hapa kama haijakaa poa.20M unaanza kazi freshi ila simu nyingi ziwe androids. Ukiuza ma iPhone latest yanakula mtaji zaidi unless ununue refurbs ambazo una pack kwenye mabox na kuuza kama mpya.