Mtaji wa biashara ya duka la simu

Mtaji wa biashara ya duka la simu

Habari wana jukwaa
Nina wazo la kufungua duka la kuuza simu lakini sijajua ntaanza na mtaji kiasi gani.

Kwa wenye uzoefu msaada wa mawazo unahitajika tafadhali.
20M unaanza kazi freshi ila simu nyingi ziwe androids. Ukiuza ma iPhone latest yanakula mtaji zaidi unless ununue refurbs ambazo una pack kwenye mabox na kuuza kama mpya.

Tia accessories za simu pia kama ma cover,chargers,earphones, memory cards, flash, screen protectors hapo unakuwa sawa.

Ukianza kupata mwanga, weka tv games pia uwe unaziuza. Toa huduma ya kuuza movies pia na series. Utakuja kunishukuru
 
Wenzako wanafanya za juu kwa juu.... asa we jifanye umenyooka utarud kwenu huna kitu
 
20M unaanza kazi freshi ila simu nyingi ziwe androids. Ukiuza ma iPhone latest yanakula mtaji zaidi unless ununue refurbs ambazo una pack kwenye mabox na kuuza kama mpya.

Tia accessories za simu pia kama ma cover,chargers,earphones, memory cards, flash, screen protectors hapo unakuwa sawa.

Ukianza kupata mwanga, weka tv games pia uwe unaziuza. Toa huduma ya kuuza movies pia na series. Utakuja kunishukuru
Shukran sana mkuu kwa ushauri wako
 
Simu zipo tofauti tofauti kuna za 15,000 na zipo simu hadi 3m sasa wewe unataka kuuza simu zipi
 
Habari wana jukwaa.

Nina wazo la kufungua duka la kuuza simu lakini sijajua nitaanza na mtaji kiasi gani.

Kwa wenye uzoefu msaada wa mawazo unahitajika tafadhali.
Mtaji sijajua we ulijipangaje Ila India Kuna simu nzuri na bei rahis mfano simu lak 2bongo naona watu wanauza Hadi sita kama hutojari tunaweza kufanya biashara unanilipa nauli tu
 
Weka namba yako niagize visimu huko.
 
20M unaanza kazi freshi ila simu nyingi ziwe androids. Ukiuza ma iPhone latest yanakula mtaji zaidi unless ununue refurbs ambazo una pack kwenye mabox na kuuza kama mpya.

Tia accessories za simu pia kama ma cover,chargers,earphones, memory cards, flash, screen protectors hapo unakuwa sawa.

Ukianza kupata mwanga, weka tv games pia uwe unaziuza. Toa huduma ya kuuza movies pia na series. Utakuja kunishukuru
kwa biashara ya izo cover edfon charge na smu ndogo kuweka movie nkiwa na mtaj kama wa 4m inawezekana kwel? bei za edfon zaa jumla na chaj imekaa vp
 
20M unaanza kazi freshi ila simu nyingi ziwe androids. Ukiuza ma iPhone latest yanakula mtaji zaidi unless ununue refurbs ambazo una pack kwenye mabox na kuuza kama mpya.

Tia accessories za simu pia kama ma cover,chargers,earphones, memory cards, flash, screen protectors hapo unakuwa sawa.

Ukianza kupata mwanga, weka tv games pia uwe unaziuza. Toa huduma ya kuuza movies pia na series. Utakuja kunishukuru
Anunue Refurbs,aweke kwa maboksi auze kama mpya?...hapa kama haijakaa poa.
 
Back
Top Bottom