Mtaji wa biashara.

Mtaji wa biashara.

Cacs

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
339
Reaction score
530
Heshima kwenu nyote.
Nina uhitaji wa kufanya biashara ndogondogo ila tatizo mtaji sina hivyo wadau mwenye kazi yoyote naomba anipatie ili nipate mtaji wa kuanzia. Kazi yoyote ya malipo kwa siku au week ingependeza zaidi.
Nawasilisha
 
Uko wapi ?

Mtaji wako unataka wa kuanzia kiasi gani ?

Ni biashara gani ndogo una lengo la kufanya ?

Una uzoefu nayo ?

Una uhakika nikikupa mtaji wangu, hutoupoteza ?
 
Nipo dar,
Naitaji kama laki,
Biashara ya kutembeza nguo,mikoba na viatu vya mtumba.
Sina uzoefu nayo ndo nataka nianze,
Mtaji hauwezi kupotea kwa kua nimedhamiria.
Asante
 
Heshima kwenu nyote.
Nina uhitaji wa kufanya biashara ndogondogo ila tatizo mtaji sina hivyo wadau mwenye kazi yoyote naomba anipatie ili nipate mtaji wa kuanzia. Kazi yoyote ya malipo kwa siku au week ingependeza zaidi.
Nawasilisha
Jicho lako ninauhakika linaweza kukupatia mtaji wa kutosha kabisa, kama utadhamilia kulitumia vizuri.
 
Back
Top Bottom