Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kwenu nyote.
Nina uhitaji wa kufanya biashara ndogondogo ila tatizo mtaji sina hivyo wadau mwenye kazi yoyote naomba anipatie ili nipate mtaji wa kuanzia. Kazi yoyote ya malipo kwa siku au week ingependeza zaidi.
Nawasilisha
Nipo dar,Uko wapi ?
Mtaji wako unataka wa kuanzia kiasi gani ?
Ni biashara gani ndogo una lengo la kufanya ?
Una uzoefu nayo ?
Una uhakika nikikupa mtaji wangu, hutoupoteza ?
Hilo jicho kwenye avart yake unaona linaendana na kazi hizo ulizozieleza?. Manawake ni mapambo, usipotoshe.Zunguka kwenye site za ujenzi au matofali au mchanga kujaza kwenye magari hauwezi kukosa kibarua mkuu.
Jicho lako ninauhakika linaweza kukupatia mtaji wa kutosha kabisa, kama utadhamilia kulitumia vizuri.Heshima kwenu nyote.
Nina uhitaji wa kufanya biashara ndogondogo ila tatizo mtaji sina hivyo wadau mwenye kazi yoyote naomba anipatie ili nipate mtaji wa kuanzia. Kazi yoyote ya malipo kwa siku au week ingependeza zaidi.
Nawasilisha
Mwanzo hakuweka hiyo avatar.Hilo jicho kwenye avart yake unaona linaendana na kazi hizo ulizozieleza?. Manawake ni mapambo, usipotoshe.
Pia anaweza kuweka jicho wakati ni DumeMwanzo hakuweka hiyo avatar.
Nilihisi ni mwanaume
Mungu akupiganie upate zaidi ya hitaji lako.Nipo dar,
Naitaji kama laki,
Biashara ya kutembeza nguo,mikoba na viatu vya mtumba.
Sina uzoefu nayo ndo nataka nianze,
Mtaji hauwezi kupotea kwa kua nimedhamiria.
Asante
MmmmhZunguka kwenye site za ujenzi au matofali au mchanga kujaza kwenye magari hauwezi kukosa kibarua mkuu.
Heshima kwako mkuu! Upo kumbeTATIZO UAMINIFU
HESHIMA KWAKO PIA MKUU... NIPO SANAHeshima kwako mkuu! Upo kumbe