ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,852
Avatar sio sababu mkuu kuna siku za kupata outing ndo unapiga picha km hivyo lkn kiuhalisia maisha sivyo yalivyo.
Njia gani unayoikataaa. Use whatever you have to move forwad dadanguAahaaa hapana kwa njia hiyo ni bora tu nibaki kama nilivyo.
KE AU ME?Heshima kwenu nyote.
Nina uhitaji wa kufanya biashara ndogondogo ila tatizo mtaji sina hivyo wadau mwenye kazi yoyote naomba anipatie ili nipate mtaji wa kuanzia. Kazi yoyote ya malipo kwa siku au week ingependeza zaidi.
Nawasilisha
kama huwezi kutafuta hela tafuta mwanaumeDuh sawa
nakupa 100 unarudisha 150?
kama upo tayari karibu
Haha kweli kbs umenena, sasa na alietoa uo ushauri ni #cute b si mwanamke wewe??.? Tuambie wewe ulishawahi kufanya hiyo kazi...??Hilo jicho kwenye avart yake unaona linaendana na kazi hizo ulizozieleza?. Manawake ni mapambo, usipotoshe.
Kwa kufanya kazi na kazi yenyewe ndo natafuta
Ebu fafanua vizur na mwenzio ajifunze toka kwakoUwo msemo una maana kubwa ukiutafakari kuundwa,nakumbuka mimi kuna biashara nilianza kufanya bila pesa bila smart phone wala kitochi yani nilikuwa naazima simu kwa watu,mtaji wangu ilikuwa ni page ya Instagram
Unanipa nguvuUwo msemo una maana kubwa ukiutafakari kiundani,nakumbuka mimi kuna biashara nilianza kufanya bila pesa bila smart phone wala kitochi yani nilikuwa naazima simu kwa watu,mtaji wangu ilikuwa ni page ya Instagram na baada ya muda mfupi niliweza kutatua shida zangu
HahahaPia anaweza kuweka jicho wakati ni Dume
Mkuu na mimi ninaomba uniazime mtaji maana nimekwama kabisa.ukipewa laki moja utakubali kurudisha na riba? au
shingapi mkuu kwa sikuKama shida ni mtaji wa laki? Na upo dar’ nenda kiwanda cha sayona kipo mikocheni b nafikiri wanatoa vibarua kulipwa kwa siku/wiki au mwezi ni mapendekezo yako
biashara gan, share nasi tujifunzeUwo msemo una maana kubwa ukiutafakari kiundani,nakumbuka mimi kuna biashara nilianza kufanya bila pesa bila smart phone wala kitochi yani nilikuwa naazima simu kwa watu,mtaji wangu ilikuwa ni page ya Instagram na baada ya muda mfupi niliweza kutatua shida zangu
Vipi bado hujapata kaziUnanipa nguvu