Mtaji wa biashara.

Mtaji wa biashara.

Ndiyo siku hizo chache unazitumia vizuri kupata mtaji dadangu
Avatar sio sababu mkuu kuna siku za kupata outing ndo unapiga picha km hivyo lkn kiuhalisia maisha sivyo yalivyo.
 
Heshima kwenu nyote.
Nina uhitaji wa kufanya biashara ndogondogo ila tatizo mtaji sina hivyo wadau mwenye kazi yoyote naomba anipatie ili nipate mtaji wa kuanzia. Kazi yoyote ya malipo kwa siku au week ingependeza zaidi.
Nawasilisha
KE AU ME?
 
Tafuta danga usimpe mzigo hata million I utapata. Hilo jicho DM zinausika chapu
 
Uwo msemo una maana kubwa ukiutafakari kiundani,nakumbuka mimi kuna biashara nilianza kufanya bila pesa bila smart phone wala kitochi yani nilikuwa naazima simu kwa watu,mtaji wangu ilikuwa ni page ya Instagram na baada ya muda mfupi niliweza kutatua shida zangu
Kwa kufanya kazi na kazi yenyewe ndo natafuta
 
Uwo msemo una maana kubwa ukiutafakari kuundwa,nakumbuka mimi kuna biashara nilianza kufanya bila pesa bila smart phone wala kitochi yani nilikuwa naazima simu kwa watu,mtaji wangu ilikuwa ni page ya Instagram
Ebu fafanua vizur na mwenzio ajifunze toka kwako
 
Uwo msemo una maana kubwa ukiutafakari kiundani,nakumbuka mimi kuna biashara nilianza kufanya bila pesa bila smart phone wala kitochi yani nilikuwa naazima simu kwa watu,mtaji wangu ilikuwa ni page ya Instagram na baada ya muda mfupi niliweza kutatua shida zangu
Unanipa nguvu
 
biashara gan, share nasi tujifunze
 
Back
Top Bottom