Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 899 Jul 9, 2016 #21 Pagan Amum said: Nina eneo Dar.... Kama uko interestes njoo inbox... Tunaingia share Click to expand... Mkuu ulishapata wa ku share.
Pagan Amum said: Nina eneo Dar.... Kama uko interestes njoo inbox... Tunaingia share Click to expand... Mkuu ulishapata wa ku share.
mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 194 Nov 20, 2018 #22 Jahlex said: Kwa atakayehitaji kisima kwa shughuli ya umwagiliaji huko kimbiji tuwasiliane,bei ni nafuu mno kwa kisima cha lingi. Click to expand... mkuu naomba makadilia na mchanganuo wa kuchimba kisima kidogo
Jahlex said: Kwa atakayehitaji kisima kwa shughuli ya umwagiliaji huko kimbiji tuwasiliane,bei ni nafuu mno kwa kisima cha lingi. Click to expand... mkuu naomba makadilia na mchanganuo wa kuchimba kisima kidogo
Jahlex JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 512 Reaction score 604 Nov 20, 2018 #23 khadija mandingo said: mkuu naomba makadilia na mchanganuo wa kuchimba kisima kidogo Click to expand... Unahitajia kisima cha aina gani? vipo vya kuchimba kwa mkono na kujengwa kwa ringi hivi gharama zake si zaidi ya Milioni moja kama labour charges, Na vile vya mashine ni 65,000 per mitre kwa maeneo ya Dar na Pwani kwahiyo gharama ya jumla inategemea urefu wa kisima husika Karibu
khadija mandingo said: mkuu naomba makadilia na mchanganuo wa kuchimba kisima kidogo Click to expand... Unahitajia kisima cha aina gani? vipo vya kuchimba kwa mkono na kujengwa kwa ringi hivi gharama zake si zaidi ya Milioni moja kama labour charges, Na vile vya mashine ni 65,000 per mitre kwa maeneo ya Dar na Pwani kwahiyo gharama ya jumla inategemea urefu wa kisima husika Karibu