Mtaji wa kilimo cha mbogamboga

Mtaji wa kilimo cha mbogamboga

mkuu naomba makadilia na mchanganuo wa kuchimba kisima kidogo
Unahitajia kisima cha aina gani? vipo vya kuchimba kwa mkono na kujengwa kwa ringi hivi gharama zake si zaidi ya Milioni moja kama labour charges,

Na vile vya mashine ni 65,000 per mitre kwa maeneo ya Dar na Pwani kwahiyo gharama ya jumla inategemea urefu wa kisima husika
Karibu
 
Back
Top Bottom