Mtaji wa kuanzisha mashine ya kusaga na kukoboa unaweza kuwa kiasi gani?

Mtaji wa kuanzisha mashine ya kusaga na kukoboa unaweza kuwa kiasi gani?

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Wakuu wa jamvi, kwanza poleni na msiba. [emoji120]

Naomba kutoka kwenu kujua gharama za mtaji wa mashine ya kusaga na kukoboa nafaka kama mahindi, mchele n.k.

Napendekeza pia kushirikishwa uzoefu kuhusu biashara hii.

Natanguliza shukurani [emoji120]

1621684324339.png

Mtaji wa kuanzisha au kununua mahindi weka swali lako vizuri mkuu.
 
Unahitaji mashine( tumekuwa tunatumia JIANG SU toka miaka ya 2000), kinu cha kusagaw, kinu cha kukoboa.

Lita 5 ya dizel ilikuwa inatoa 20,000 miaka hiyo na kwa siku wastani lita 5 zinaisha au zaidi km ni weekend
 
Mimi najua kinu cha kusaga kuna namba 100 hiki 1.6ml,kuna namba 75 hiki ni 1.3ml Cha kukoboa rola 4 ni 1.5, alafu rola 3 ni 1.3, Mota pia kwa kinu kikubwa ni 40hp bei 1.5ml

Cha kukoboa rola 4 mota ni 40hp
Hicho cha kusaga cha pili mota 30hp bei 1.3ml
Kukoboa pia 30hp.

Karibu mimi nafanya hiyo business
 
Mimi najua kinu cha kusaga kuna namba 100 hiki 1.6ml,kuna namba 75 hiki ni 1.3ml
Cha kukoboa rola 4 ni 1.5, alafu rola 3 ni 1.3,
Mota pia kwa kinu kikubwa ni 40hp bei 1.5ml
Cha kukoboa rola 4 mota ni 40hp
Hicho cha kusaga cha pili mota 30hp bei 1.3ml
Kukoboa pia 30hp.

Karibu Mimi nafanya hiyo business
Kwahiyo mashine zote mbili ya kukoboa na kusaga ni Tzs ngapi!? Mchanganuo sijauelewa hapo.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Samahani kwa uandishi mbovu lakini jumlisha thamani ya kinu peke yake na bei ya mota utapata gharama zote. Kumbuka kukamilosha mradi huu wote hakikisha usikose 10ml mkuu
 
Kama utatumia umeme,kwa machine na motor za 15 HP na jengo andaa 20 mil.
-machine ya kukoboa namba 10 ni 2.5mil na motor ni 1.3 mil
-machine ya kusaga made in tz laki 8 motor 1.3 mil
-machine ya kukoboa mahindi laki 4 motor 1.3 mil
-wiring pamoja na Fundi umeme 1.5 mil
-jengo 7 mil
 
Umeitoa wapi hiyo?

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
MASHINE ya kusaga namba 100 NI milioni 3.7 na mota yake HP 40 mashine ya kukoboa ya Lola 3 ni milioni 3.5 na mota yake HP 30, startar unanunua mwenyewe

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Kama utatumia umeme,kwa machine na motor za 15 HP na jengo andaa 20 mil.
-machine ya kukoboa namba 10 ni 2.5mil na motor ni 1.3 mil
-machine ya kusaga made in tz laki 8 motor 1.3 mil
-machine ya kukoboa mahindi laki 4 motor 1.3 mil
-wiring pamoja na Fundi umeme 1.5 mil
-jengo 7 mil

Nzuri; ila mbona jengo gharama; ni la kukodi au kujenga? Au ni factory level? [emoji851]
 
Mimi nimenunua vinu vyote hivyo Sinza makaburini kwenye karakana ya mchaga mmoja. Hizo mota zote mbili nimenunua Posta kule stesheni kwenye duka la pembejeo za kilimo linaitwa auto sokoni
 
Mimi nimenunua vinu vyote hivyo Sinza makaburini kwenye karakana ya mchaga mmoja. Hizo mota zote mbili nimenunua Posta kule stesheni kwenye duka la pembejeo za kilimo linaitwa auto sokoni

Ili gharm kiasi gani mpaka ukafunga?
 
Back
Top Bottom