Mtaji wa kuanzisha mashine ya kusaga na kukoboa unaweza kuwa kiasi gani?

Mtaji wa kuanzisha mashine ya kusaga na kukoboa unaweza kuwa kiasi gani?

Ukishafunga hizo mashine na kuandaa jengo ndio basi unaanza kazi au kuna mambo ya vibali vinavyolipiwa?

Na je ukishaanza kuzalisha soko la kuuza hizo bidhaa likoje?soko linapatikanaje?
Mimi nimetumia milion 12 gharama zimefikia huko sababu nimerekebisha na jengo
 
Wazee hapa Dsm kila mtu anajua alivyopata vyake mimi sijafikisha gharama hizo
Mkuu hii biashara wateja wengi ni malikauli na kuna matapeli wengi mnoo....! Wewe umewezaje kuwakwepa?
 
Kama utatumia umeme,kwa machine na motor za 15 HP na jengo andaa 20 mil.
-machine ya kukoboa namba 10 ni 2.5mil na motor ni 1.3 mil
-machine ya kusaga made in tz laki 8 motor 1.3 mil
-machine ya kukoboa mahindi laki 4 motor 1.3 mil
-wiring pamoja na Fundi umeme 1.5 mil
-jengo 7 mil
Sa c bora ufungue duka tu kwa mtaji huo kuliko
 
sa c bora ufungue duka tu kwa mtaji huo kuliko

[emoji16][emoji16][emoji16] gharama sana?? Hata mm nime doubt lakini amesema amerekebisha na jengo
 
sa c bora ufungue duka tu kwa mtaji huo kuliko
Ukipata maeneo mazur hii biashara unaingiza 70,000 kwa siku,Mimi npo kijijin napata 40,000 kila SKU afu natumia umeme wa 10,000 kila SKU,lakin hii kaz inachangamoto sana pale unapoanza Kuna inshu Mara machine zmefungwa vbaya kila SKU znakuwa na tatzo Mara vyuma kukatka Mara mikanda,wachaw nao hawako nyuma Mara wanaweka vyuma kwenye nafaka yaan n tabu kama mmiliki hako busy sana wakat wa mwanza unapoanza kaz hii inabid uwe Karbu kila sku
 
Ukipata maeneo mazur hii biashara unaingiza 70,000 kwa siku,Mimi npo kijijin napata 40,000 kila SKU afu natumia umeme wa 10,000 kila SKU,lakin hii kaz inachangamoto sana pale unapoanza Kuna inshu Mara machine zmefungwa vbaya kila SKU znakuwa na tatzo Mara vyuma kukatka Mara mikanda,wachaw nao hawako nyuma Mara wanaweka vyuma kwenye nafaka yaan n tabu kama mmiliki hako busy sana wakat wa mwanzo unapoanza kaz hii inabid uwe Karbu kila sku

Nilidhani kuna ‘sumaku’ za kunasa vyuma, au unamaanisha uchawi kama uchawi!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] gharama sana?? Hata mm nime doubt lakini amesema amerekebisha na jengo
Mh balaa ase anazungumzia about 30M+ kwenda mambele huko

Kwa hiyo hela ukifungua hardware kubwa maisha ushayapiga bao
 
Ukipata maeneo mazur hii biashara unaingiza 70,000 kwa siku,Mimi npo kijijin napata 40,000 kila SKU afu natumia umeme wa 10,000 kila SKU,lakin hii kaz inachangamoto sana pale unapoanza Kuna inshu Mara machine zmefungwa vbaya kila SKU znakuwa na tatzo Mara vyuma kukatka Mara mikanda,wachaw nao hawako nyuma Mara wanaweka vyuma kwenye nafaka yaan n tabu kama mmiliki hako busy sana wakat wa mwanza unapoanza kaz hii inabid uwe Karbu kila sku

Nime experience sana watu kusaga sarafuu [emoji16][emoji16] balaa juu ya balaa tu
 
Mh balaa ase anazungumzia about 30M+ kwenda mambele huko

Kwa hiyo hela ukifungua hardware kubwa maisha ushayapiga bao

Hiyo hela kubwa mnoo, labda kama milling factory sasa [emoji28][emoji28]
 
Jengo la tofali za cement
-ukuta 1 mil
-milango miwili mikubwa 1 mil
-paa 1mil
-lipu na floor 1 mil
OK,tuseme 5 mil itahusika
Hii hesabu ya jengo ni kwa mkoa gani? Nadhani maelezo yako hayakutakiwa uweke na hiyo gharama, kwani hiyo inabadirika kutengemeana na sehem. Pia na maamuzi
 
Nimefatilia kwa umakini Leo sas ngoja nijunze vitu kuusu hii biashara kwanza kabisa pesa ambayo ninayo ni milioni 10 Sina chochote natarajia kuchukuwa fremu ndo nianzisha hii biashara kusaga na kukoboa na kiasi nitacho anzanacho kununua maindi[emoji120]
 
siku hizi kuna vimashine potable vinavyotumia umeme wa majumbani volts 220 unaweza kusaga na kukoboa mahindi, mpunga n.k mpk kilo 300 kwa saa unaweza anza na hivyo kwa mtaji wako alafu maana ni bei nafuu ukilinganisha na mashine hizi kubwa
Screenshot_20220922-201736_1.jpg
 
Mimi najua kinu cha kusaga kuna namba 100 hiki 1.6ml,kuna namba 75 hiki ni 1.3ml Cha kukoboa rola 4 ni 1.5, alafu rola 3 ni 1.3, Mota pia kwa kinu kikubwa ni 40hp bei 1.5ml

Cha kukoboa rola 4 mota ni 40hp
Hicho cha kusaga cha pili mota 30hp bei 1.3ml
Kukoboa pia 30hp.

Karibu mimi nafanya hiyo business
Naam,
 
Back
Top Bottom