Kwahiyo mashine zote mbili ya kukoboa na kusaga ni Tzs ngapi!? Mchanganuo sijauelewa hapo.Mimi najua kinu cha kusaga kuna namba 100 hiki 1.6ml,kuna namba 75 hiki ni 1.3ml
Cha kukoboa rola 4 ni 1.5, alafu rola 3 ni 1.3,
Mota pia kwa kinu kikubwa ni 40hp bei 1.5ml
Cha kukoboa rola 4 mota ni 40hp
Hicho cha kusaga cha pili mota 30hp bei 1.3ml
Kukoboa pia 30hp.
Karibu Mimi nafanya hiyo business
Umeitoa wapi hiyo?Kama utatumia umeme,kwa machine na motor za 15 HP na jengo andaa 20 mil.
-machine ya kukoboa namba 10 ni 2.5mil na motor ni 1.3 mil
-machine ya kusaga made in tz laki 8 motor 1.3 mil
-machine ya kukoboa mahindi laki 4 motor 1.3 mil
-wiring pamoja na Fundi umeme 1.5 mil
-jengo 7 mil
Kama utatumia umeme,kwa machine na motor za 15 HP na jengo andaa 20 mil.
-machine ya kukoboa namba 10 ni 2.5mil na motor ni 1.3 mil
-machine ya kusaga made in tz laki 8 motor 1.3 mil
-machine ya kukoboa mahindi laki 4 motor 1.3 mil
-wiring pamoja na Fundi umeme 1.5 mil
-jengo 7 mil
Nko navyo
Jengo la tofali za cementNzuri; ila mbona jengo gharama; ni la kukodi au kujenga? Au ni factory level? [emoji851]
Wazee hapa Dsm kila mtu anajua alivyopata vyake mimi sijafikisha gharama hizoView attachment 1526350