Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Bet ukipata odds 15 unapata m75,000,000 siku hiyo hiyoSalam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini.
Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe
Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana basi laana tunayo
Sasa wakuu naombeni mnipe muongozo natokaje yaani kwa huo mtaji wangu ni biashara gani naweza kuifanya na nikapata faida
Karibuni kwa mawazo natanguliza shukrani
KUNA JAMAA YUKOMMAKUMBUSHO ANATOA VITU CHINA NIKUMBUSHE ASBH ANA MADUKA MAKUMBUSHO UNANUNUA VYA JUMLA. BEGI KIASI CHUPI KIASI NA NGUO KADHAA UTAKUJA NISHUKURUUSalam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini.
Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe
Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana basi laana tunayo
Sasa wakuu naombeni mnipe muongozo natokaje yaani kwa huo mtaji wangu ni biashara gani naweza kuifanya na nikapata faida
Karibuni kwa mawazo natanguliza shukrani
Nilitegemea ushauri huu mapema sanaBet ukipata odds 15 unapata m75,000,000 siku hiyo hiyo
Muongezee kidogoMasikini una laki Tano?!
ATA Mimi ni masikiniMuongezee kidogo
Kubeti inatakiwa uwe na kazi nyingine siyo kazi ya kutegemeaBet ukipata odds 15 unapata m75,000,000 siku hiyo hiyo
Shukrani ππUza sigara za pakti tembeza mtaani mkuu.
Niko mkoani tatizo ila shukrani πKUNA JAMAA YUKOMMAKUMBUSHO ANATOA VITU CHINA NIKUMBUSHE ASBH ANA MADUKA MAKUMBUSHO UNANUNUA VYA JUMLA. BEGI KIASI CHUPI KIASI NA NGUO KADHAA UTAKUJA NISHUKURUU
Nimeuza takribani mwaka mzima faida unayopata inaishia kwenye Kodi ya nyumba na chakula. Kuuza mayai utegemee uje ununue kiwanja hata Cha laki sita Siyo leoUza mayai utatoka kimachomacho.
Nguo za mtumba za kike zitakutoa
Uko mkoa gani kaka biashara hutegemea na eneo ulipo
Ninaweza kukushauli baishara ya dar wakati wewe uko mwanza
Lakini pia acha kujiita masikin na acha kuonesha dalili za kujiona mwenye hatia
Mwenye hatia nchi hii ni mama manyonyo peke yake
Niko kahama mkuu huku nimekuja kiutafutaji ila Kila nikiangalia Hela nayoipata hakuna Cha maana nachoifanyia zaidi sana inaishia kwenye chakula na malaziUko mkoa gani kaka biashara hutegemea na eneo ulipo
Ninaweza kukushauli baishara ya dar wakati wewe uko mwanza
Lakini pia acha kujiita masikin na acha kuonesha dalili za kujiona mwenye hatia
Mwenye hatia nchi hii ni mama manyonyo peke yake