Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
- Thread starter
-
- #21
Nishapigwa na Hawa watu wa delivery nadhani itanichukua muda kuwa na Imani nao ila shukrani🙏anatuma na mikoani.muhimu.muwasiliane then uwe na mtu dar anaenda kuwaona ofisin unatoa oda zako ukitoka China unajulishwa na utafika lini after unapigiwa njoo mzigo wako huu..Sasa usafiri anakulizia n sh ngapi anakutumia amesaidia wengi sana na ana duka sio moja somebody kelvin
Siyo Manun'guniko ni uhalisiaKwanza kabisa punguza manung’Uniko(yanazima baraka)asilimia kubwa ya waTz masikini wala usione kama jua linakuwakia pekee yako!
-Nenda mwanza kafanye biashara ya dagaa!
-Ukishindwa fanya biashara ya bidhaa za kimachinga kama accessories zinalipa!
-Ukishindwa nunua rangi za gel na kawaida na machine paka rangi wadada(hii biashara yangu naijua vzr pamoja na sehemu za kunua mzigo)uliza lolote!
-Au nunua balo la mtumba zunguka minadani utaona matunda
-Au tafuta meza soko kuu uza matunda ama viazi, au chochote kinachoendana na mtaji wako
-biashara ya viatu vya kike inategemea na eneo ulilopo unaweza kuanzia popote ata chini (biashara yangu pia niulize chochote)
-Vitu ni vingi kaa chini ufikirie kisha tia nia!
Anza!!
NB; pesa uliyonayo ni ndogo ukikurupuka utaanza upya!
Kila la kheri!🤝🏽
Shukrani🙏Wewe ndo unayajua vizuri mazingira uliyopo,laki 5 huo ni mtaji tosha kabisa kwa biashara zenye mzunguko WA chapu chapu,cha muhimu jizime data ondoa aibu hela kwanza aibu baadae! Katafute thread za jamaa Mmoja humu anajiita Controlla ana nondo nzuri Sana kwa mtu kama wewe!
Dagaa zinapatikana mwanza! Zinahitaji kuwa serious kidogo.. unatakiwa uwepo mwenyewe kwa kuwa unaanza unaamka alfajiri saa 10 kwenda mwaloni, unanunua dagaa wabichi! Ndoo huwa zinapanda mpaka 100 sometimes na zinashuka, unaweza wakausha ukauza masokoni au ukakaanga ukatafuta wateja kila mahali unauza! Ziwa huwa linafungwa kila baada ya siku 10! Lakini ukiwa na stock utauza mfano sadolin moja unaiuza kuanzia 18000, ukitafuta wateja wako mikaoni arusha dar dodoma and the like hukoswi pesa ndefu na dagaa inakuletea faida mara mbili au nusu ya mtaji ukikomaa! Uzuri dagaa wa kukaanga hawaharibiki wana uwezo wa kukaa muda mrefu!Siyo Manun'guniko ni uhalisia
Niliwahi kuuza hivyo viatu vya kike na scandal za kiume Kuna muda mwingine nilikuwa nakoswa koswa kulala njaa kutokana na kwamba wateja hamna baadae niliviuza vyote kwa jamaa yangu kwa bei ya hasara
Labda kidogo hiyo ya dagaa sijajua upatikanaji wake na changamoto zake
Kuna Harufu ya Mtu Kupigwa Hapaanatuma na mikoani.muhimu.muwasiliane then uwe na mtu dar anaenda kuwaona ofisin unatoa oda zako ukitoka China unajulishwa na utafika lini after unapigiwa njoo mzigo wako huu..Sasa usafiri anakulizia n sh ngapi anakutumia amesaidia wengi sana na ana duka sio moja somebody kelvin
Nan kevi auKUNA JAMAA YUKOMMAKUMBUSHO ANATOA VITU CHINA NIKUMBUSHE ASBH ANA MADUKA MAKUMBUSHO UNANUNUA VYA JUMLA. BEGI KIASI CHUPI KIASI NA NGUO KADHAA UTAKUJA NISHUKURUU
Nimeipenda hiiKwanza kabisa punguza manung’Uniko(yanazima baraka)asilimia kubwa ya waTz masikini wala usione kama jua linakuwakia pekee yako!
-Nenda mwanza kafanye biashara ya dagaa!
-Ukishindwa fanya biashara ya bidhaa za kimachinga kama accessories zinalipa!
-Ukishindwa nunua rangi za gel na kawaida na machine paka rangi wadada(hii biashara yangu naijua vzr pamoja na sehemu za kunua mzigo)uliza lolote!
-Au nunua balo la mtumba zunguka minadani utaona matunda
-Au tafuta meza soko kuu uza matunda ama viazi, au chochote kinachoendana na mtaji wako
-biashara ya viatu vya kike inategemea na eneo ulilopo unaweza kuanzia popote ata chini (biashara yangu pia niulize chochote)
-Vitu ni vingi kaa chini ufikirie kisha tia nia!
Anza!!
NB; pesa uliyonayo ni ndogo ukikurupuka utaanza upya!
Kila la kheri!🤝🏽
Biqshara za kelvin duka ni lile lile Makumbusho tu. Lakin ukiwa na 3xposure nzur kelvin kuna vingine anachukua kariakoo0685 176929/0743 356395
Kelvin ll d best
VP kuhusu mambo ya vibaliDagaa zinapatikana mwanza! Zinahitaji kuwa serious kidogo.. unatakiwa uwepo mwenyewe kwa kuwa unaanza unaamka alfajiri saa 10 kwenda mwaloni, unanunua dagaa wabichi! Ndoo huwa zinapanda mpaka 100 sometimes na zinashuka, unaweza wakausha ukauza masokoni au ukakaanga ukatafuta wateja kila mahali unauza! Ziwa huwa linafungwa kila baada ya siku 10! Lakini ukiwa na stock utauza mfano sadolin moja unaiuza kuanzia 18000, ukitafuta wateja wako mikaoni arusha dar dodoma and the like hukoswi pesa ndefu na dagaa inakuletea faida mara mbili au nusu ya mtaji ukikomaa! Uzuri dagaa wa kukaanga hawaharibiki wana uwezo wa kukaa muda mrefu!
Upo mkoa ganiSalam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini.
Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe
Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana basi laana tunayo
Sasa wakuu naombeni mnipe muongozo natokaje yaani kwa huo mtaji wangu ni biashara gani naweza kuifanya na nikapata faida
Karibuni kwa mawazo natanguliza shukrani
Mkoa ganiNiko mkoani tatizo ila shukrani 🙏
na kuna wengine wanahongwa milioni mia sita na hawastuki! wanaona kawaida tu!Salam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini.
Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe
Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana basi laana tunayo
Sasa wakuu naombeni mnipe muongozo natokaje yaani kwa huo mtaji wangu ni biashara gani naweza kuifanya na nikapata faida
Karibuni kwa mawazo natanguliza shukrani
All the bests kwake
Tumetofautiana mkuuna kuna wengine wanahongwa milioni mia sita na hawastuki! wanaona kawaida tu!
Shinyanga kahamaMkoa gani
Humuonei huruma kabisa weweBet ukipata odds 15 unapata m75,000,000 siku hiyo hiyo
Nunua mitungi ya gesi uanze kuuza mdogomdogo. Nunua mitungi yakilo15 miwili na kilo 6 minne. Nunua banner pesa inayobaki.Shinyanga kahama
Sijaelewa ninunue mitungi mitupu ama namna ganiNunua mitungi ya gesi uanze kuuza mdogomdogo