Mtaji wa milioni 1 nianze biashara gani Mwanza?

millcent5

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
62
Reaction score
25
Mm nimegraduate mwaka huu nikapata pa kujishikiza,nimesave kile chochote nilichokua napata hadi nimefikia m1! Sasa nataka huu mwaka mpya nianze biashara! Nimewaza swala la pikpk naona zipo nyingi alafu zinahitaji usimamizi mkubwa!nisaidieni wazo la kibiashara wakuu!

Maisha ya kazi za watu nataka niachane nazo.
 
Njoo tuongeze na m 2 zangu then nitakuambia nn cha kufanya, c unajua idea ni mtaji.
 
Zunguka bar zote hapo town,club zote Villar,fussio,kiss na beach zote malaika na tunza utapata idea ya nn ufanye baada ya kuizungusha akil yako na kutumia hyo pesa kttk maeneo hayo
 
Nenda kijijini kwenu ukanunue shamba uanze kulima nalo ni wao
anza biashara ya kubadilisha hela japo mtaji ni mdogo ukitulia utapata faida nzuri
anza biashara ya mitumba japo mtaji kidogo utatosha kama wewe ni bahili
kanunue mchele uvizie pindi ukipanda uuze nalo ni wazo
fungua bar huko kijijini kwenu unaweza kutokamo
kahonge kwa watu binafsi ili upate kazi itakayokuwezesha kukabiliana na hali ya maisha na ukipata unafanya kwa muda huku ukijipanga kuongeza elimu yako na mambo mengine kwa wakati huu usibague kazi japo hupendi kuajiliwa
 
Mkuu kurudi kijijini nako ni changamoto! Kuhonga upate kazi nayo ishu wengi maboss mjini matapeli! Ntampa hela na kazi nisipate
 
Zunguka bar zote hapo town,club zote Villar,fussio,kiss na beach zote malaika na tunza utapata idea ya nn ufanye baada ya kuizungusha akil yako na kutumia hyo pesa kttk maeneo hayo



Mkuu huko kote nimepita lakini empty! No idea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…