millcent5
Member
- Dec 8, 2013
- 62
- 25
Mm nimegraduate mwaka huu nikapata pa kujishikiza,nimesave kile chochote nilichokua napata hadi nimefikia m1! Sasa nataka huu mwaka mpya nianze biashara! Nimewaza swala la pikpk naona zipo nyingi alafu zinahitaji usimamizi mkubwa!nisaidieni wazo la kibiashara wakuu!
Maisha ya kazi za watu nataka niachane nazo.
Maisha ya kazi za watu nataka niachane nazo.