Mtaji wa milioni 4

Nashukuru sana kaka kwa ushauri wako.be blessed
 
Asante kaka.
 
Hiyo hiyo biashara ya mgahawa itakulipa endapo utaisimamia vizuri na ikiwa katika eneo zuri kibiashara.
 
Mkuu hongera kwa ushauri mzuri na unaotia moyo lkn kwa manufaa ya wanajamvi nina maswali mawili kutoka ktk ushauri wako mkuu

Kwa kuwa ushakomaa sana kwe hiyo biashara ukiachilia mbali njia uloitumia ww ktk kutafuta experience ya biashara ni njia gani unayoweza kutushauri vijana tunaotaka kuja huko ili kupata experience ya biashara pasipo kutumia muda mrefu kama huo wa miezi 6?

Nimejaribu kupititia masoko kadhaa hapa mjini nimeona madalali wana play role kubwa sana kati ya muuzaji na mnunuzi je kupitia experience yako ni njia gani nzuri kuitumia unapoanza biashara inayotaka kunafanana na yakwako ili kuwakwepa madali mkuu,?
 
Bank gani hiyo uliyochukulia Mkopo bila kujua utafanyia biashara gani hizo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…