manyanga21
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 164
- 203
Tafuta eneo eneo tupu unaweza kulipia kwa makubaliano na mwenye eneo anzisha kutoa huduma ya kuosha magari na pikipiki hapa huitaji fremu Wala leseni unaitaji water pressure ambayo ipo ndogo na pipa zile kubwa za pembe nne
Kama upo tayari unaweza kwenda mkowani kununuwa mazao vijijini Kisha ukaenda kuuza mjini mf unanunuwa mpunga mbeya vijijini unaenda kuuza mbeya mjini
Kama upo tayari unaweza kwenda mkowani kununuwa mazao vijijini Kisha ukaenda kuuza mjini mf unanunuwa mpunga mbeya vijijini unaenda kuuza mbeya mjini